Friday, July 8, 2016

Fid and Boika ndani Too strong for too long t shirts za kijanja kutoka Eight'ten Inc..


Eight'ten Inc.. imekuja kuwapa vitu full maujumbe full kupendeza






Eight ten t shirts ni nouma

Miss Anitha mjukuu wa 8t akiwa na pozi matata la Eight ten t shirt, lazima wakae

8ten & Ben ten. Dodoma 2015

Sema mwenyewe

t shirt ipi imemng'arisha mvaaji kama sio Eight ten t shirt?

Number don't lie .

Number don't lie kama unavyomuona Miss Tatu (3) akiwa na hiyo wadada wenyewe wanaita ......
ikiwa na logo kali ya Eight ten.

Don Bosco students wakipiga selfie ya nguvu na Mpoki Mwasimba

Wanafunzi wa Don Bosco Oysterbay wakiwa na furaha isiyo kifani baada ya kukutana na Mpoki Mwasimba akiwa ametupia Eight ten t shirt. Kama unavyowaona hapo katika picha waki ekotite.

Andry 8ten naye aliona sio hatari kutupia red Eight ten t shirt.


My niece Brecha akiwa ametupia white Eight ten t shirt yaani kama lembe


Roja akiwa ametulia huku amejipigilia Eight ten t shirt hana habari na mtu.


WYSIWYG . Eight ten t shirts black & pink


Mpoki Mwasimba aka Taya Man Raggae, Ragga and Hiphop artist akiwa na Eight ten t shirt


OLV ndani ya Eight ten tee shirt


Sumaveli Mc kutoka Kino akiwa ametinga Pain changes people kutoka Eight'ten Inc.


Jesca model akiwa ametokelezea na Eight ten t shirt ndani ya Mafia Island.


Eight ten t shirt


810 Tee Shirt


810 t shirts