Monday, November 26, 2012

RAP






Picha tofauti tofauti zikiwaonyesha vijana wa Don Bosco O/bay VTC wakitumbuiza kwa style ya muziki wa kufokafoka yaan RAP wakati wa mahafali ya 23 ya chuo hiko cha ufundi stadi yaliyofanyika chuoni hapo tarehe 24/11/2012. Baadhi ya wasanii hao ni Andrew Mgalula, Thomasi, Castor Komba, Karama Peter , Charles and Mp Mawe. by 810

No comments:

Post a Comment