Monday, November 26, 2012

Karate

Hii haikuwa Japan bali ni hapahapa TZ ndani ya Don Bosco O/bay VTC wakati wa mahafali ya kuwaaga wanafunzi waliohitimu katika chuo hicho cha ufundi stadi. Yaani ilikuwa si mchezo mambo kumite, technics na mengine lukuki.by Andry810


No comments:

Post a Comment