Friday, July 8, 2016

Don Bosco students wakipiga selfie ya nguvu na Mpoki Mwasimba

Wanafunzi wa Don Bosco Oysterbay wakiwa na furaha isiyo kifani baada ya kukutana na Mpoki Mwasimba akiwa ametupia Eight ten t shirt. Kama unavyowaona hapo katika picha waki ekotite.

No comments:

Post a Comment